BREAKING NEWS: MABOMU YALIPUKA MBAGALA: Mamia ya wakazi wazihama nyumba zao,Majeruhi wafurika hospitali Dar, RNSSF, Dowans, Muhimbili na Tanesco, zanyooshewa kidole;| Man Utd 1-0 Arsenal: O'Shea the unlikely hero, Kesi ya Mauaji :Mshtakiwa atoboa siri awahusisha Zombe, Bageni. Prof Lipumba amshutumu Reginald Mengi kuwa anajipendekeza kwa Rais Kikwete,Ukaguzi wa vyeti sasa kuhamia sekta binafsi|Gavana Ndulu aunda jopo kuchunguza Bima ya BoT, Wenger retains Euro hope, Obama to pull most troops from Iraq by 2010 MASTERDEEKYBLOG , PATA HABARI MBALI MBALI KUPITIA BLOG HII. | MICHEZO,BURUDNI,MAISHA,TOVUTI MBALIMBALI" | IKIWA NI PAMOJA NA UHONDO NA MAMBO MENGINE MENGI PAMOJA NA HABARI KUTOKA SEHEMU MBALIMBALI ZA DUNIA

GLOBALPUBLISHERS | MWANANCHI | HABARILEO | BONGORADIO | NEW VISION UGANDA | BBCSWAHILI | DAILY NEWS| ALL AFRICA | DAILYNATION KENYA
MASTERDEEKYBLOG , PATA HABARI MBALI MBALI KUPITIA BLOG HII. | MICHEZO,BURUDNI,MAISHA,TOVUTI MBALIMBALI" | IKIWA NI PAMOJA NA UHONDO NA MAMBO MENGINE MENGI PAMOJA NA HABARI KUTOKA SEHEMU MBALIMBALI ZA DUNIA
TODAYS TOP NEWS
Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Sita 2009 CLICK HERE
AJALI

This wreckage is all that remained of Toyota Hiace with registration number T 527 ABW, plying between Kongowe and Ubungo in DSM, when a Scania truck with registration number T 873 AAN (R) accidentally rammed into it at Kibaha in Coast Region.
Zuma aapishwa
Brazil floods,At least 32 have been killed and left nearly 200,000 homeless.
Brazil rushed aid Wednesday by air, over land and through rapidly rising waters to scores of cities and towns isolated by floods that have killed at least 32 and left nearly 200,000 homeless. But in an ominous sign that worried officials, rain continued to fall across a vast region stretching from the Amazon jungle to the northeastern Atlantic coast and meteorologists predicted the bad weather could last for weeks.
Zombe asubiri hukumu
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imefunga utetezi wa mshitakiwa wa kwanza aliyekuwa Kaimu Kamanda na Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Dar es Salaam, (ACP) Abdallah Zombe, kwenye kesi ya mauaji ya wafanyabiashara watatu na dereva teksi mmoja, sasa anachosubiri ni hukumu.Zombe kupitia wakili wake, Jerome Msemwa, aliiomba mahakama hiyo impe nafasi ya kujitetea upya lakini ombi lake liligonga mwamba. Zombe na wenzake wanakabiliwa na mashitaka ya kuwaua kwa kuwapiga risasi watu wane, ambao miongoni mwao ni wafanyabishara watatu maarufu wenyeji wa mkoa wa Morogoro na dereva Taxi mmoja.
Obama policies on Africa to follow in the footsteps of the Bush regime
In what may come as a shock to many, President Barack Obama’s designated top diplomat for Africa has confirmed that the new administration will adhere to the same policies that were pursued during the Bush era.
Dar tourism takes a beating from global crisis
Tanzania’s tourism industry has taken a beating from the global economic crunch’s with revenue collection expected to dip below the projected $1.6 billion. In March, the operators proposed several measures to address the impact of the financial crisis on Tanzania tourism.
Athari za Mabomu Dar
“Serikali imeshaanza kugharimia gharama za mazishi kwa watu waliokufa katika ajali hii, na itaangalia jinsi ya kuwapa pole wale waliofiwa ili kupunguza makali ya maisha na kuwasaidia waliopata ulemavu kwa matibabu na vifaa"
Mengi VS Rostam: Where is the Government?

In separate interviews yesterday, political leaders and several other people queried why the Government had not acted on allegations of serious criminal offences being made by Igunga MP Rostam Aziz and prominent businessman Reginald Mengi.
Kenya: Women Go On Sex Strike
Thousands of the women vowed to begin a week-long sex strike to protest their country's bickering leadership, which they say threatens to revive the bloody chaos of last year. Leaders from Kenya's largest and oldest group dedicated to women's rights, the Women's Development Organisation, said they hoped the boycott would persuade men to pressure government to make peace.

Tangazo la Marekani lazua hasira Iran
Serikali ya Iran wamekasirishwa sana kufuatia nchi hiyo kutajwa kuwa ni mfadhili mkuu wa ugaidi duniani na wamehoji hadhi ya Marekani kutoa madai kama hayo.Iran imetupilia mbali ripoti iliyotolewa na Marekani inayoshutumu nchi hiyo kwa kufadhili ugaidi na kupanga mashambulio katika maeneo ya Mashariki ya Kati na Asia ya Kati.

11 WAFA KWA MABOMU: Mamia ya wakazi wazihama nyumba zao,Majeruhi wafurika hospitali Dar
Watu 11 wakiwamo wanajeshi sita, wamethibitika kufa katika milipuko ya makombora na mabomu iliyotokea juzi katika kambi ya maghala ya silaha ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Mbagala Kizuiani, Dar es Salaam. Idadi hiyo ya vifo imeongezeka Akizungumza na Mwananchi, mmoja wa wananchi hao, Mohamed Said alisema hali ni mbaya watu wamefadhaika na nyumba kadhaa zimeharibiwa na wengi wao wapotezana na familia zao. “Mimi nimepotezana na watoto wangu na baadhi ya ndugu zangu sijui waliko,” alisema.
Madaktari bingwa wa Taasisi ya Mifupa ya Muhimbili (Moi), wakimpa Rais Jakaya Kikwete (kushoto) maelezo ya majeruhi wa mabomu aliyelazwa katika taasisi hiyo baada ya kupoteza mguu wake na damu nyingi juzi, na sasa anapumua kwa kutumia mashine maalumu.
eneo la Mtoni Kwa Azizi Ally kuelekea mabomu yalikolipuka
askari wa Kikosi cha zimamoto wakielekea eneo la tukio
Kivumbi ripoti ya CAG leo Dodoma
Kuvuna Deci hadi wiki ijayo
Vyuo binafsi vya walimu vyaomba ruzuku
Mbowe adai mradi wa vitambulisho vya kitaifa... ni mradi wa ulaji wa Chama cha Mapinduzi (CCM)
Rais Kikwete ampongeza Anna Kilango kwa ujasiri dhidi ya ufisadi
Bank execs vow to work with Obama on recovery plan
SPORTS NEWS
Man United recover to edge closer to title
Taifa stars yachezea kichapo, yalala 2-0 dhidi ya Congo

The genius break Chelsea hearts

Andreas Iniesta's last-gasp away goal earned Barcelona a 1-1 draw at Stamford Bridge and a place in the Champions League final against Manchester United. At fulltime furious Chelsea players confronted the referee over his failure to award several penalty claims.
Gunners fan hangs himself after United victory
An Arsenal fan hung himself following his team's 4-1 aggregate drubbing by arch-rivals Manchester United in the Champions League semi-final.Suleiman Alphonso Omondi, a 29-year-old Kenyan living in the capital Nairobi's Embakasi neighbourhood, hanged himself in his Arsenal shirt after the match.
THE CHAMPIONS,MAN UNITED INTO THE FINAL AGAIN
Manchester United will go to Rome to defend their Champions League trophy after beating Arsenal 3-1 at the Emirates. Arsene Wenger"The most disappointing thing is the game was over before it started. We can only look at ourselves. It is disappointing to fight such a long way and then give the game away as we did.In three minutes we conceded two goals and it was too much against a team who defends well. After 10 minutes it was impossible. We kept going and played with pride"
Real Madrid 2 - 6 Barcelona,Barcelona humiliate Real,Henry and Messi imperious

Barcelona all but ended Real Madrid's hopes of the Spanish Liga title in dishing out a footballing lesson in spectacular style. They more than deserved their 6-2 margin of victory. Real took the lead but were soon swept away by the skills of Lionel Messi and his team-mates.Barcelona took a giant step towards winning the Primera Division title after crushing arch rivals and nearest challengers Real Madrid in stunning fashion at the Bernabeu.
Premier League: Man Utd win, Chelsea win derby
TFF yawaandalia wachezaji soka wa zamani hafla ya kuwaenzi Mei 22
SHIRIKISHO la soka Tanzania, TFF, linatarajia kufanya hafla kwa ajili ya kuwaenzi wachezaji wa zamani ambao waliweza kushiriki vyema katika timu ya taifa pamoja na wakuu wa idara mbalimbali katika soka, hafla itakayofanyika Mei 22.
Stars kupimana na mabingwa wa CHAN
Timu ya Soka ya Taifa, Taifa Stars inatarajiwa kucheza mechi ya kimataifa ya kirafiki dhidi ya Timu ya Soka ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mei 9. Kongo ndio mabingwa wa michuano ya Kombe la Mataifa Afrika kwa wachezaji wa ndani iliyofanyika Ivory Coast Februari 22 - Machi 8. Kongo
Champions Al Ahly crash out
Al Ahly have crashed out of the African Champions League after being beaten on the away goals rule by Nigeria's Kano Pillars.
Tevez reaffirms exit desire
Carlos Tevez has again admitted he is likely to leave Manchester United at the end of the season. Tevez has failed to hold down a place in the starting XI this season and is unhappy with his lack of action, with United no closer to agreeing an extension to his loan deal.
Man Utd 1-0 Arsenal: O'Shea the unlikely hero.
John O'Shea was the unlikely hero for Manchester United on Wednesday as they beat Arsenal 1-0 at Old Trafford. "It was difficult first half because Manchester United were playing very strong and attacking with everything. We were a bit asleep at that moment." Arsenal goalkeeper Almunia told Sky Sports.

Honoured Giggs hails Sir Alex Manchester United midfielder Ryan Giggs hailed boss Sir Alex Ferguson after being named the Professional Footballers' Association Player of the Year for the first ever time. The award is seen as just reward for a glittering career which started 18 years ago.

19 dead in Cote d'Ivoire football stadium crush
Ribery magic puts France back in business
Simba yaishi kwa matumaini CAF
Maximo aomba mechi zaidi Stars
EDF Energy Cup: The Ospreys and Gloucester met in the first semi-final at the Ricoh Arena in Coventry.

Barca's Laporta: Messi is not for sale at any price
James helped Cleveland Cavaliers' to beat the Minnesota Timberwolves 107-85
Hasheem ang'ara Ligi ya NCCA

ENTERTAINMENT
BONGO FLAVA LISTEN HERE
I AM AN AFRICAN”- NAKAAYA.
Mwanamuziki Nakaaya Sumari hivi karibuni ndiye mwanamuziki kutoka Afrika Mashariki ambaye amekula ‘bingo” kubwa kwenye anga za muziki kutokana na mkataba wake na kampuni kubwa ya usambazaji muziki ulimwenguni ya SONY MUSIC yenye makao makuu nchini Marekani.
Q-Chief Awatolea Uvivu Baaada ya kusemwa sana kwamba ameoa mwanamke kutoka Kenya aliyemzidi umri wa miaka kumi, Q-Chief awatolea uvivu watu wote wanaomfuatilia maisha yake na kusema yeye hajali hilo kwakuwa mapenzi hayachagui na ana uhuru wa kupenda mwanamke kutoka taifa lolote alitakalo "Sijazuiwa kupenda mtu hivyo nina uhuru wa kupenda mtu yoyote na kutoka taifa lolote hivyo wale wanaonisema nimempenda mwanamke wa Kikenya wanajifurahisha midomo"Q-Chief
WATANI WA JADI
MAMBO YA UTALII
MISS TANZANIA EU 2009
Tollywood Kutoa shavu kwa wasanii wa maigizo,Shindano jipya na la kisasa ‘Movie Star Scouting’ ambalo litatafuta vipaji vya waigizaji chipukizi
TOP TEN SWAHILI MOVIES

MAHABUBA,FILAMU INAYOTAMBA
TMK Family walibipu jeshi Kundi la muziki wa kizazi kipya, TMK Wanaume Family linatarajia kudondosha video ya wimbo wao mpya, ‘Wanaume Kazini’ siku chache zijazo huku ndani yake wasanii hao wakionekana kupiga gwanda za jeshi kitu kinachotafsiriwa kama ni ‘kulibipu’ jeshi la wananchi ambalo lilipiga marufuku mavazi hayo kwa raia.
FROM CHINA WITH LOVE.
Kampuni inayokuja juu kunako ya kuandaa na kusimamia filamu za Kibongo, Tollywood ya Dar es Salaam imeandaa bonge la shindano ambalo litawafanya wasanii chipukizi katika fani ya uigizaji kuwa maarufu Barani Afrika.Kampuni ya Tollywood ndiyo watengenezaji wa ‘muvi’ zilizotamba sokoni kama Fake Pastors na From China With Love. Kama wewe unadhani una kipaji cha kuigiza huu ndio wakati wako wa kuwa staa wa filamu Afrika.

Majonzi, vilio na hali ya mashaka, bado inatawala sehemu kubwa ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam hususan wale wanaoishi wilayani Temeke, kufuatia matokeo ya milipuko ya mabomu juzi kwenye kambi ya Jeshi, Mbagala Kizuiani.

Abdul Hafidh aka "Rick Ross", ambaye alikuwa miongoni mwa washiriki kumi wa shindano la Maisha Plus, lililokuwa likionyeshwa moja kwa moja na kituo cha televisheni cha TBC1, juzi usiku aliibuka mshindi.
MOE Q: Tutakutana na Ray C
Bush,Rice watinga umasaini
“NINI SINA”-STARA THOMAS FT CHID BENZ

T.I. Sentenced to a Year and a Day

American Idol’: On to the next

Madonna to begin Malawi adoption

Professional and cost effective web design, development and promotion services

Interactive Web Products - Flash Survey, poll, Guest book, Instant Quote

Free web resources - articles, tutorials, tips and tricks.

ADVERTISEMENTS

NEWSPAPERS HEAD LINES




MUSIC
PHOTO GALLERY
SCHOLARSHIPS NEWS
2009 International Ibsen Scholarships by Norwegian Government
Master’s Degree Scholarships Hungary in 2009
Master’s Scholarships for Public Policy and Good Governance (PPGG) for Students from Africa, Latin America, South Asia, Southeast Asia and Middle East
What are the objectives of the programme? This programme is designed to academically qualify future leaders in politics, law, economics and administration according to the principles of Good Governance and to prepare them in a praxis-oriented course for their professional life. The programme offers very good graduates with a first university degree (Bachelor or equivalent) the chance to obtain a Master’s degree in disciplines that are of special relevance for the social, political and economic development of their home country. With the knowledge and experience acquired in Germany the scholarship holders should later contribute to the establishment of democratically devised economic and social systems aimed at overcoming social tensions. In addition, the training at German institutions of higher education should especially qualify the scholarship holders as partners in political and economic cooperation with Germany. With this programme, DAAD intends to contribute to the support of Good Governance and civil society structures in selected partner countries and regions. Who can apply? The scholarship scheme is open to candidates from Africa, Latin America, South Asia, Southeast Asia as well as from countries in the Middle East. Target group Very well qualified graduates with a first university degree (Bachelor or equivalent) who in the future want to actively contribute to the social and economic development of their home countries. Deadline Please do not apply now, but wait until DAAD has issued the list of Master courses selected for scholarships from 2010. The complete set of application papers must be submitted by 15 September 2009 in your home country . Contact and advise Further information can be obtained from DAAD section 444 (public-policy@daad.de). Further Scholarship Information and Application

BLOG MBALIMBALI

ISSAMICHUZI

MAGAZETI YA KENNEDY

MJENGWA BLOG

SWAHILITIME

MAKULILO Jr

BENIZZO

HARAKATI BLOG

BONGOLIST

KITANGOMA

BEDAJUNIOR

Professional and cost effective web design, development and promotion services

Interactive Web Products - Flash Survey, poll, Guest book, Instant Quote

Free web resources - articles, tutorials, tips and tricks.

Friday 27 March 2009

MAGAZETI YA LEO



Wednesday 25 March 2009

MAGAZETI YA LEO





Tuesday 24 March 2009

Obama vows to 'attack this crisis on all fronts'


President Obama presented a sober assessment of the state of the economy in a prime time news conference Tuesday, but he insisted his administration has a strategy in place to "attack this crisis on all fronts." Obama defended his budget, which has come under criticism for its hefty price, saying the plan he proposed is "inseparable" from the overall strategy for economic recovery.

Suala la Dalai Lama laahirisha mkutano


Waandalizi wa mkutano wa amani nchini Afrika Kusini, wamesema mkutano huo wa washindi wa tuzo ya Nobel, umeahirishwa baada ya serikali kumzuia Dalai Lama kuhudhuria.

Mkutano huo ambao ulikuwa ufanyike wiki hii mjini Johannesburg ulihusishwa zaidi na mashindano ya soka kuwania kombe la dunia ya mwaka 2010, ambayo yataandaliwa na Afrika Kusini.

Utata wa kufanyika mkutano huo ulizuka baada ya Dalai Lama kuzuiwa kushiriki, huku serikali ya Afrika Kusini ikishutumiwa kuisikiliza zaidi China.

Askofu Desmond Tutu na Rais wa zamani wa Afrika Kusini President FW de Klerk walijitoa kushiriki mkutano huo, wakipinga kuzuiwa Dalai Lama.

Mkutano huo ulikuwa umepangwa kuzungumzia namna mashindano ya kombe la dunia yatakavyotumika kumaliza vita dhidi ya ubaguzi na chuki dhidi ya wageni.

Msemaji wa serikali ya Afrika Kusini amesema ziara ya Dalai Lama ingevuruga muelekeo wa Afrika Kusini katika kuandaa kombe la dunia.

Sunday 22 March 2009

MAGAZETI





Friday 20 March 2009

MAGAZETI YA LEO





KaTUNi yA LeO


Amfungia mwanae wa kike kwa miaka 24 katika nyumba ya siri chini ya ardhi, azaa naye watoto 7, ahukumiwa kifungo cha maisha jela.

Josef Fritzl, raia wa Austria, ambaye alimfungia mwanae wa kike kwa miaka 24 katika nyumba ya siri chini ya ardhi, na kuzaa naye watoto 7, amehukumiwa kifungo cha maisha jela.






MORE DETAILS..

The Fritzl case emerged in April 2008 when a 42-year-old woman, Elisabeth Fritzl (born April 6, 1966), stated to police in the town of Amstetten in Austria that she had been held captive for 24 years in a concealed part of the basement of the family home by her father, Josef Fritzl (born April 9, 1935), and that he had physically assaulted, sexually abused, and raped her numerous times during her imprisonment. The incestuous relationship forced upon her by her father had resulted in the birth of seven children and one miscarriage.

Three of the children had been imprisoned along with their mother for the whole of their lives: daughter Kerstin, aged 19, and sons Stefan, 18, and Felix, 5. One child, named Michael, had died of respiratory problems three days after birth, deprived of all medical help; his body was incinerated by Josef Fritzl on his property. The three other children were raised by Fritzl and his wife Rosemarie in the upstairs home. Fritzl had engineered the appearance of these children as foundlings discovered outside his house: Lisa at nine months in 1993, Monika at ten months in 1994, and Alexander at 15 months in 1997.

When the eldest daughter, Kerstin, became seriously ill, Josef acceded to Elisabeth's pleas to take her to a hospital, triggering a series of events that eventually led to discovery. Josef Fritzl was arrested on 26 April 2008, aged 73, on suspicion of serious crimes against family members and went on trial in Sankt Pölten, Austria on 16 March 2009.[1][2] He initially pleaded guilty to four of the six charges he faces, namely incest, rape, coercion and false imprisonment, but denied the other two charges of murder of the infant Michael and enslavement.[3][4]On the third day of the trial, he pleaded guilty to all six charges.[5] On March 19, the fourth day of the trial, Josef Fritzl was sentenced to life imprisonment on all charges.

Key events

The sequence of key events in this case is as follows:[7][27][15][28][29]
Date Key event
1977 Fritzl begins sexually abusing his 11-year-old daughter, Elisabeth.
29 August 1984 Fritzl lures Elisabeth, now 18 years old, into the basement and imprisons her.
November 1986 Elisabeth has a miscarriage in the 10th week of pregnancy.
1989 The first child, Kerstin, is born, and lives in the cellar until 2008.
1990 Stefan is born. He, too, stays in the cellar until 2008.
1992 Lisa is born. In May 1993, when she is nine months old, she is discovered outside the family home in a cardboard box, allegedly left there by Elisabeth, along with a note asking for the child to be cared for.
February 1994 The fourth child, Monika, is born.
1994 Fritzl enlarges the prison for Elisabeth and her children from 35 m² (380 sq ft) to 55 m² (600 sq ft).
December 1994 Ten-month-old Monika is found in a stroller outside the entrance of the house. Shortly afterwards, a phone call is made to Rosemarie, apparently, from Elisabeth. The caller asks Rosemarie to take care of the child. However, it is assumed that Fritzl was able to use a recording of Elisabeth's voice to make the call. Rosemarie reported the incident to the police, expressing her astonishment that Elisabeth knew of their new and unlisted phone number.
May 1996 Elisabeth gives birth to twin boys. One dies after three days and Fritzl is alleged to have removed his body from the cellar and cremated it. The surviving twin, Alexander, is taken upstairs when he is 15 months old. He is "discovered" in circumstances similar to those of his two sisters.
December 2002 Felix is born. According to a statement by Fritzl, he kept Felix in the cellar, together with Elisabeth and her two eldest children, because his wife was not able to look after another child.
19 April 2008 Fritzl arranges for the critically ill 19-year-old Kerstin to be taken to a local hospital.
26 April 2008 During the evening, Fritzl releases Elisabeth from the cellar along with her sons Stefan and Felix, bringing them upstairs, informing his wife that Elisabeth had decided to come home after a 24-year absence. Later that evening, after an anonymous tipoff during a visit to the hospital, Fritzl and Elisabeth are taken into police custody where she reveals her decades-long imprisonment during questioning.
16 March 2009 Trial commences in St. Pölten, Austria.
18 March 2009 Fritzl changes his plea to guilty on all charges.
19 March 2009 Fritzl is sentenced to life imprisonment

Wednesday 18 March 2009

MAGAZETI YA LEO















Monday 16 March 2009

Masters-PhD Scholarships for Students from Tanzania in Belgium

Embassy of Belgium & Belgian Technical Cooperation (BTC) Opportunity for scholarships for PhD and Masters studies in BELGIUM

Starting in the academic year 2009-2010

The Embassy of Belgium in Dar es Salaam and BTC in collaboration with Presidents’ Office, Public Service Management in Tanzania, announce the availability of a limited number of scholarships for PhD and Masters Studies in
Belgium for the new academic year 2009-2010.

For PhD studies

Applicants must have the Tanzanian nationality and be no more than 40 years of age on 1st March 2009, have a Masters degree in a field of study to the one for which a scholarship is being requested, he/she must have completed at least two years of relevant working experience as a researcher in a university or research centre in Tanzania.
The requested PhD-research must be in line with the priority sectors (Basic Health Care, Education, HIV/AIDS Care and Prevention, Agriculture and Food Security, Public Administration, Justice, Environment and Water
Management) which foster the realisation of the Tanzania Vision and MKUKUTA.

A precise programme for the research, adjustable to its requirements must be joined and should contain at least (a) the definition of the topic, (b) the identification and official approval of the promoters in Belgium and in Tanzania and (c) a timetable of its implementation.

For Master studies

Applicants must have the Tanzanian nationality and be no more than 35 years of age on 1st May 2009, have a relevant Bachelor degree (often 4 years is required by Belgian Universities). The requested study must be related to the professional activity of the applicant and he/she must have at least two years of relevant working experience.

The requested course must be in line with the priority sectors (Basic Health Care, Education, HIV/AIDS Care and Prevention, Agriculture and Food Security, Public Administration, Justice, Environment and Water Management) which foster the realisation of the Tanzania Vision and MKUKUTA.

The University in Belgium must officially approve all applicants prior to submission of the scholarship request.
Both applications are open to people from public, and private sector as well as civil society. Female candidates are strongly encouraged to apply. Applicants need to have the written approval of their employers.

Standard application forms can be obtained from the President’s Office, Public Service Management, Division of Human Resource Development, P.O. Box 2483, Dar Es Salaam, Tel. 2118531-4/2122908, Fax. 2125299 or on
www.estabs.go.tz or from the Embassy of Belgium, 5 Ocean Road, Dar Es Salam (email: daressalaam@diplobel.be) or from the BTC office, 1271, Haile Selassie Road, Oysterbay, Dar Es Salaam (email: representation.tan@btcctb.org ).
Completed and signed application forms have to be submitted with certified true copies of all educational certificates.
All applications (original application file + 1 copy) have to be submitted to the President’s Office, Public Service Management, Division of Human Resource Development P.O.Box 2483, Dar es Salaam.

The deadline for submission is 31st March 2009.

It is recommended to send a copy of the application file to the Embassy of Belgium, Ocean Road 5, P.O.
Box 9210 Dar es Salaam.

Further Scholarship Information and Application(pdf)

Magazeti ya leo










Friday 13 March 2009

Yale maisha bora aliyoahidi kikwete yako wapi?


Miaka 48 ya uhuru hadi sasa hivi watu wanasomea katika hali hii?
Yale maisha bora ya Kikwete yako wapi?

mwinyi alivyopigwa kofi, aliyempiga kofi ahukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela

Thursday 12 March 2009

THANKS FOR VISITING THIS BLOG

masterdeeky 2009

MAONI: masterdeeky@hotmail.com