BREAKING NEWS: MABOMU YALIPUKA MBAGALA: Mamia ya wakazi wazihama nyumba zao,Majeruhi wafurika hospitali Dar, RNSSF, Dowans, Muhimbili na Tanesco, zanyooshewa kidole;| Man Utd 1-0 Arsenal: O'Shea the unlikely hero, Kesi ya Mauaji :Mshtakiwa atoboa siri awahusisha Zombe, Bageni. Prof Lipumba amshutumu Reginald Mengi kuwa anajipendekeza kwa Rais Kikwete,Ukaguzi wa vyeti sasa kuhamia sekta binafsi|Gavana Ndulu aunda jopo kuchunguza Bima ya BoT, Wenger retains Euro hope, Obama to pull most troops from Iraq by 2010 MASTERDEEKYBLOG , PATA HABARI MBALI MBALI KUPITIA BLOG HII. | MICHEZO,BURUDNI,MAISHA,TOVUTI MBALIMBALI" | IKIWA NI PAMOJA NA UHONDO NA MAMBO MENGINE MENGI PAMOJA NA HABARI KUTOKA SEHEMU MBALIMBALI ZA DUNIA

GLOBALPUBLISHERS | MWANANCHI | HABARILEO | BONGORADIO | NEW VISION UGANDA | BBCSWAHILI | DAILY NEWS| ALL AFRICA | DAILYNATION KENYA
MASTERDEEKYBLOG , PATA HABARI MBALI MBALI KUPITIA BLOG HII. | MICHEZO,BURUDNI,MAISHA,TOVUTI MBALIMBALI" | IKIWA NI PAMOJA NA UHONDO NA MAMBO MENGINE MENGI PAMOJA NA HABARI KUTOKA SEHEMU MBALIMBALI ZA DUNIA
TODAYS TOP NEWS
Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Sita 2009 CLICK HERE
AJALI

This wreckage is all that remained of Toyota Hiace with registration number T 527 ABW, plying between Kongowe and Ubungo in DSM, when a Scania truck with registration number T 873 AAN (R) accidentally rammed into it at Kibaha in Coast Region.
Zuma aapishwa
Brazil floods,At least 32 have been killed and left nearly 200,000 homeless.
Brazil rushed aid Wednesday by air, over land and through rapidly rising waters to scores of cities and towns isolated by floods that have killed at least 32 and left nearly 200,000 homeless. But in an ominous sign that worried officials, rain continued to fall across a vast region stretching from the Amazon jungle to the northeastern Atlantic coast and meteorologists predicted the bad weather could last for weeks.
Zombe asubiri hukumu
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imefunga utetezi wa mshitakiwa wa kwanza aliyekuwa Kaimu Kamanda na Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Dar es Salaam, (ACP) Abdallah Zombe, kwenye kesi ya mauaji ya wafanyabiashara watatu na dereva teksi mmoja, sasa anachosubiri ni hukumu.Zombe kupitia wakili wake, Jerome Msemwa, aliiomba mahakama hiyo impe nafasi ya kujitetea upya lakini ombi lake liligonga mwamba. Zombe na wenzake wanakabiliwa na mashitaka ya kuwaua kwa kuwapiga risasi watu wane, ambao miongoni mwao ni wafanyabishara watatu maarufu wenyeji wa mkoa wa Morogoro na dereva Taxi mmoja.
Obama policies on Africa to follow in the footsteps of the Bush regime
In what may come as a shock to many, President Barack Obama’s designated top diplomat for Africa has confirmed that the new administration will adhere to the same policies that were pursued during the Bush era.
Dar tourism takes a beating from global crisis
Tanzania’s tourism industry has taken a beating from the global economic crunch’s with revenue collection expected to dip below the projected $1.6 billion. In March, the operators proposed several measures to address the impact of the financial crisis on Tanzania tourism.
Athari za Mabomu Dar
“Serikali imeshaanza kugharimia gharama za mazishi kwa watu waliokufa katika ajali hii, na itaangalia jinsi ya kuwapa pole wale waliofiwa ili kupunguza makali ya maisha na kuwasaidia waliopata ulemavu kwa matibabu na vifaa"
Mengi VS Rostam: Where is the Government?

In separate interviews yesterday, political leaders and several other people queried why the Government had not acted on allegations of serious criminal offences being made by Igunga MP Rostam Aziz and prominent businessman Reginald Mengi.
Kenya: Women Go On Sex Strike
Thousands of the women vowed to begin a week-long sex strike to protest their country's bickering leadership, which they say threatens to revive the bloody chaos of last year. Leaders from Kenya's largest and oldest group dedicated to women's rights, the Women's Development Organisation, said they hoped the boycott would persuade men to pressure government to make peace.

Tangazo la Marekani lazua hasira Iran
Serikali ya Iran wamekasirishwa sana kufuatia nchi hiyo kutajwa kuwa ni mfadhili mkuu wa ugaidi duniani na wamehoji hadhi ya Marekani kutoa madai kama hayo.Iran imetupilia mbali ripoti iliyotolewa na Marekani inayoshutumu nchi hiyo kwa kufadhili ugaidi na kupanga mashambulio katika maeneo ya Mashariki ya Kati na Asia ya Kati.

11 WAFA KWA MABOMU: Mamia ya wakazi wazihama nyumba zao,Majeruhi wafurika hospitali Dar
Watu 11 wakiwamo wanajeshi sita, wamethibitika kufa katika milipuko ya makombora na mabomu iliyotokea juzi katika kambi ya maghala ya silaha ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Mbagala Kizuiani, Dar es Salaam. Idadi hiyo ya vifo imeongezeka Akizungumza na Mwananchi, mmoja wa wananchi hao, Mohamed Said alisema hali ni mbaya watu wamefadhaika na nyumba kadhaa zimeharibiwa na wengi wao wapotezana na familia zao. “Mimi nimepotezana na watoto wangu na baadhi ya ndugu zangu sijui waliko,” alisema.
Madaktari bingwa wa Taasisi ya Mifupa ya Muhimbili (Moi), wakimpa Rais Jakaya Kikwete (kushoto) maelezo ya majeruhi wa mabomu aliyelazwa katika taasisi hiyo baada ya kupoteza mguu wake na damu nyingi juzi, na sasa anapumua kwa kutumia mashine maalumu.
eneo la Mtoni Kwa Azizi Ally kuelekea mabomu yalikolipuka
askari wa Kikosi cha zimamoto wakielekea eneo la tukio
Kivumbi ripoti ya CAG leo Dodoma
Kuvuna Deci hadi wiki ijayo
Vyuo binafsi vya walimu vyaomba ruzuku
Mbowe adai mradi wa vitambulisho vya kitaifa... ni mradi wa ulaji wa Chama cha Mapinduzi (CCM)
Rais Kikwete ampongeza Anna Kilango kwa ujasiri dhidi ya ufisadi
Bank execs vow to work with Obama on recovery plan
SPORTS NEWS
Man United recover to edge closer to title
Taifa stars yachezea kichapo, yalala 2-0 dhidi ya Congo

The genius break Chelsea hearts

Andreas Iniesta's last-gasp away goal earned Barcelona a 1-1 draw at Stamford Bridge and a place in the Champions League final against Manchester United. At fulltime furious Chelsea players confronted the referee over his failure to award several penalty claims.
Gunners fan hangs himself after United victory
An Arsenal fan hung himself following his team's 4-1 aggregate drubbing by arch-rivals Manchester United in the Champions League semi-final.Suleiman Alphonso Omondi, a 29-year-old Kenyan living in the capital Nairobi's Embakasi neighbourhood, hanged himself in his Arsenal shirt after the match.
THE CHAMPIONS,MAN UNITED INTO THE FINAL AGAIN
Manchester United will go to Rome to defend their Champions League trophy after beating Arsenal 3-1 at the Emirates. Arsene Wenger"The most disappointing thing is the game was over before it started. We can only look at ourselves. It is disappointing to fight such a long way and then give the game away as we did.In three minutes we conceded two goals and it was too much against a team who defends well. After 10 minutes it was impossible. We kept going and played with pride"
Real Madrid 2 - 6 Barcelona,Barcelona humiliate Real,Henry and Messi imperious

Barcelona all but ended Real Madrid's hopes of the Spanish Liga title in dishing out a footballing lesson in spectacular style. They more than deserved their 6-2 margin of victory. Real took the lead but were soon swept away by the skills of Lionel Messi and his team-mates.Barcelona took a giant step towards winning the Primera Division title after crushing arch rivals and nearest challengers Real Madrid in stunning fashion at the Bernabeu.
Premier League: Man Utd win, Chelsea win derby
TFF yawaandalia wachezaji soka wa zamani hafla ya kuwaenzi Mei 22
SHIRIKISHO la soka Tanzania, TFF, linatarajia kufanya hafla kwa ajili ya kuwaenzi wachezaji wa zamani ambao waliweza kushiriki vyema katika timu ya taifa pamoja na wakuu wa idara mbalimbali katika soka, hafla itakayofanyika Mei 22.
Stars kupimana na mabingwa wa CHAN
Timu ya Soka ya Taifa, Taifa Stars inatarajiwa kucheza mechi ya kimataifa ya kirafiki dhidi ya Timu ya Soka ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mei 9. Kongo ndio mabingwa wa michuano ya Kombe la Mataifa Afrika kwa wachezaji wa ndani iliyofanyika Ivory Coast Februari 22 - Machi 8. Kongo
Champions Al Ahly crash out
Al Ahly have crashed out of the African Champions League after being beaten on the away goals rule by Nigeria's Kano Pillars.
Tevez reaffirms exit desire
Carlos Tevez has again admitted he is likely to leave Manchester United at the end of the season. Tevez has failed to hold down a place in the starting XI this season and is unhappy with his lack of action, with United no closer to agreeing an extension to his loan deal.
Man Utd 1-0 Arsenal: O'Shea the unlikely hero.
John O'Shea was the unlikely hero for Manchester United on Wednesday as they beat Arsenal 1-0 at Old Trafford. "It was difficult first half because Manchester United were playing very strong and attacking with everything. We were a bit asleep at that moment." Arsenal goalkeeper Almunia told Sky Sports.

Honoured Giggs hails Sir Alex Manchester United midfielder Ryan Giggs hailed boss Sir Alex Ferguson after being named the Professional Footballers' Association Player of the Year for the first ever time. The award is seen as just reward for a glittering career which started 18 years ago.

19 dead in Cote d'Ivoire football stadium crush
Ribery magic puts France back in business
Simba yaishi kwa matumaini CAF
Maximo aomba mechi zaidi Stars
EDF Energy Cup: The Ospreys and Gloucester met in the first semi-final at the Ricoh Arena in Coventry.

Barca's Laporta: Messi is not for sale at any price
James helped Cleveland Cavaliers' to beat the Minnesota Timberwolves 107-85
Hasheem ang'ara Ligi ya NCCA

ENTERTAINMENT
BONGO FLAVA LISTEN HERE
I AM AN AFRICAN”- NAKAAYA.
Mwanamuziki Nakaaya Sumari hivi karibuni ndiye mwanamuziki kutoka Afrika Mashariki ambaye amekula ‘bingo” kubwa kwenye anga za muziki kutokana na mkataba wake na kampuni kubwa ya usambazaji muziki ulimwenguni ya SONY MUSIC yenye makao makuu nchini Marekani.
Q-Chief Awatolea Uvivu Baaada ya kusemwa sana kwamba ameoa mwanamke kutoka Kenya aliyemzidi umri wa miaka kumi, Q-Chief awatolea uvivu watu wote wanaomfuatilia maisha yake na kusema yeye hajali hilo kwakuwa mapenzi hayachagui na ana uhuru wa kupenda mwanamke kutoka taifa lolote alitakalo "Sijazuiwa kupenda mtu hivyo nina uhuru wa kupenda mtu yoyote na kutoka taifa lolote hivyo wale wanaonisema nimempenda mwanamke wa Kikenya wanajifurahisha midomo"Q-Chief
WATANI WA JADI
MAMBO YA UTALII
MISS TANZANIA EU 2009
Tollywood Kutoa shavu kwa wasanii wa maigizo,Shindano jipya na la kisasa ‘Movie Star Scouting’ ambalo litatafuta vipaji vya waigizaji chipukizi
TOP TEN SWAHILI MOVIES

MAHABUBA,FILAMU INAYOTAMBA
TMK Family walibipu jeshi Kundi la muziki wa kizazi kipya, TMK Wanaume Family linatarajia kudondosha video ya wimbo wao mpya, ‘Wanaume Kazini’ siku chache zijazo huku ndani yake wasanii hao wakionekana kupiga gwanda za jeshi kitu kinachotafsiriwa kama ni ‘kulibipu’ jeshi la wananchi ambalo lilipiga marufuku mavazi hayo kwa raia.
FROM CHINA WITH LOVE.
Kampuni inayokuja juu kunako ya kuandaa na kusimamia filamu za Kibongo, Tollywood ya Dar es Salaam imeandaa bonge la shindano ambalo litawafanya wasanii chipukizi katika fani ya uigizaji kuwa maarufu Barani Afrika.Kampuni ya Tollywood ndiyo watengenezaji wa ‘muvi’ zilizotamba sokoni kama Fake Pastors na From China With Love. Kama wewe unadhani una kipaji cha kuigiza huu ndio wakati wako wa kuwa staa wa filamu Afrika.

Majonzi, vilio na hali ya mashaka, bado inatawala sehemu kubwa ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam hususan wale wanaoishi wilayani Temeke, kufuatia matokeo ya milipuko ya mabomu juzi kwenye kambi ya Jeshi, Mbagala Kizuiani.

Abdul Hafidh aka "Rick Ross", ambaye alikuwa miongoni mwa washiriki kumi wa shindano la Maisha Plus, lililokuwa likionyeshwa moja kwa moja na kituo cha televisheni cha TBC1, juzi usiku aliibuka mshindi.
MOE Q: Tutakutana na Ray C
Bush,Rice watinga umasaini
“NINI SINA”-STARA THOMAS FT CHID BENZ

T.I. Sentenced to a Year and a Day

American Idol’: On to the next

Madonna to begin Malawi adoption

Professional and cost effective web design, development and promotion services

Interactive Web Products - Flash Survey, poll, Guest book, Instant Quote

Free web resources - articles, tutorials, tips and tricks.

ADVERTISEMENTS

NEWSPAPERS HEAD LINES




MUSIC
PHOTO GALLERY
SCHOLARSHIPS NEWS
2009 International Ibsen Scholarships by Norwegian Government
Master’s Degree Scholarships Hungary in 2009
Master’s Scholarships for Public Policy and Good Governance (PPGG) for Students from Africa, Latin America, South Asia, Southeast Asia and Middle East
What are the objectives of the programme? This programme is designed to academically qualify future leaders in politics, law, economics and administration according to the principles of Good Governance and to prepare them in a praxis-oriented course for their professional life. The programme offers very good graduates with a first university degree (Bachelor or equivalent) the chance to obtain a Master’s degree in disciplines that are of special relevance for the social, political and economic development of their home country. With the knowledge and experience acquired in Germany the scholarship holders should later contribute to the establishment of democratically devised economic and social systems aimed at overcoming social tensions. In addition, the training at German institutions of higher education should especially qualify the scholarship holders as partners in political and economic cooperation with Germany. With this programme, DAAD intends to contribute to the support of Good Governance and civil society structures in selected partner countries and regions. Who can apply? The scholarship scheme is open to candidates from Africa, Latin America, South Asia, Southeast Asia as well as from countries in the Middle East. Target group Very well qualified graduates with a first university degree (Bachelor or equivalent) who in the future want to actively contribute to the social and economic development of their home countries. Deadline Please do not apply now, but wait until DAAD has issued the list of Master courses selected for scholarships from 2010. The complete set of application papers must be submitted by 15 September 2009 in your home country . Contact and advise Further information can be obtained from DAAD section 444 (public-policy@daad.de). Further Scholarship Information and Application

BLOG MBALIMBALI

ISSAMICHUZI

MAGAZETI YA KENNEDY

MJENGWA BLOG

SWAHILITIME

MAKULILO Jr

BENIZZO

HARAKATI BLOG

BONGOLIST

KITANGOMA

BEDAJUNIOR

Professional and cost effective web design, development and promotion services

Interactive Web Products - Flash Survey, poll, Guest book, Instant Quote

Free web resources - articles, tutorials, tips and tricks.

Saturday 28 February 2009

Katuni ya leo

Kipepe

Friday 27 February 2009

Man held after mailing HIV-tainted blood to Obama


The criminal complaint filed in the U.S. District Court in Illinois alleges that Hussein "knowingly mailed" the letters containing HIV-infected blood "with the intent to kill or injure another."nspector Peter Rendina said this is the second known case in which a person is alleged to have sent HIV-tainted blood through the mail for malicious reasons. In the other case, which is ongoing, a man sent blood to a person he thought was a business associate.

Obama ndani y a kikapu

Hatimaye Mugabe aadhimisha Sherehe ya kuzaliwa


Rais Robert Mugabe alitimiza miaka 85 Jumamosi iliyopita na jitihada zimekamilika za kumwandalia hafla nzito Jumamosi hii ambayo itahudhuriwa pia na Waziri Mkuu Morgan Tsvangirai.

Takriban dola za Marekani elfu 250 zimekusanywa na wafuasi wa Rais Mugabe kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa.

Thursday 26 February 2009

Mambo ya Kp

Kp

Obama submits first budget blueprint


President Obama today presented a budget that he says is an "honest accounting of where we are and where we intend to go." Obama outlined the top priorities of his budget in his address to a joint session of Congress on Tuesday. Congress received a 140-page summary of the budget this morning. The full details are expected in April

Kesi ya Mahalu kuendeshwa kwa satelite


Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imeridhia maombi ya upande wa utetezi katika kesi ya kuhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Italia, Proffesa Coaster Mahalu kuendeshwa kwa Satelaiti ili kuiunganisha mahakama hiyo na wachunguzi wa kesi hiyo waliotumwa nchini Italia.

Uamuzi huo umefikiwa baada ya mawakili wanaomtetea Prof. Mahalu wanaoongozwa na wanasiasa wakongwe nchini Mabere Malando na Bob Makani kuiomba mahakama kuhamishia kesi hiyo nchini Italia ama kuunganishwa kwa njia ya Satelaiti ili kuharakisha kesi uendeshaji wake.

Muluzi akamatwa kwa tuhuma za ufisadi


Aliyekuwa rais wa Malawi Bakili Muluzi amekamatwa kwa tuhuma za wizi wa dola milioni 11 , pesa za msaada kwa nchi, kwa mujibu wa kitengo cha kitaifa cha kupambana na ufisadi.

Kitengo hicho cha kupambana na ufisadi kimesema Muluzi ameshtakiwa kwa makosa 87 kwa madai ya kuzielekeza kwa ujanja pesa za msaada katika akaunti yake binafsi.

Wanajeshi wagoma Bangladeshi


Jeshi la Bangladesh limepeleka vifaru kumi na kuviweka tayari kwa mashambulizi nje ya kituo kimoja cha kijeshi mjini Dhaka kinachoshikiliwa na wanajeshi wa kulinda mpakani wanaogoma.

Katuni ya leo

Wednesday 25 February 2009

Plane crashes on landing at Schiphol


AMSTERDAM -- Dutch media report that a Turkish plane crashed on landing at Amsterdam's Schiphol Airport and broke into three pieces. There was no immediate word on casualties.

Airport police spokesman Rob Stenacker told The Associated Press emergency services were responding to a reported crash Wednesday but could give no further details.

Tuesday 24 February 2009

Man Inter ,Hakuna mbabe

UEFA CHAMPIONS LEAGUE HEAD TO HEAD





TUESDAY NIGHT

19:45 UK
Emirates Stadium
Arsenal v AS Roma


19:45 UK

Vicente Calderon
Atlético Madrid v FC Porto


19:45 UK

Giuseppe Meazza
Internazionale v Manchester United

19:45 UK

Stade de Gerland
Lyon v Barcelona

WEDNESDAY NIGHT

19:45 UK
Stamford Bridge
Chelsea v Juventus

19:45 UK

Estadio Santiago Bernabéu
Real Madrid v Liverpool

19:45 UK

Jose Alvalade
Sporting Lisbon v Bayern Munich

19:45 UK

Estadio El Madrigal
Villarreal v Panathinaikos

Monday 23 February 2009

Katuni ya leo

UN yajiandaa kupambana na LRA


Umoja wa Mataifa unanuia kutuma vikosi zaidi vya kulinda amani katika eneo la Dungu ambalo limeathirika zaidi kutokana na mashambulizi ya waasi wa LRA.Baadhi ya zana Umoja wa Mataifa utatumia katika harakati hiyo, ni helicopta moja ya kuendesha mashumbulizi na zingine mbili za usafirishaji.

N. Korea prepares satellite launch



North Korea has signaled it was preparing to launch a "satellite" from its coast, denying recent intelligence suggesting a long-range missile, according to South Korea's Yonhap news agency. Regional tension has increased recently, with the North announcing it would scrap peace agreements with the South, warning of a war, and threatening to test a missile capable of hitting America.

Saturday 21 February 2009

Katuni: Mwenge hauruki kijiji

Obama keeps Bush view on Afghan detainees


The Obama administration has told a federal court it will maintain the Bush administration's position that battlefield detainees held without charges by the United States in Afghanistan are not entitled to constitutional rights to challenge their detention.

Chinese President Hu Jintao met with US Secretary of State


Chinese President Hu Jintao met with US Secretary of State Hillary Clinton here on Saturday, stressing that it is of ever great importance to further deepen and develop Sino-US relations.

Friday 20 February 2009

Clinton in Beijing 'to seek consensus'


Hillary Clinton arrived in Beijing Friday night for the final leg of her first overseas tour as secretary of state. She said she will hold talks with China on climate change, the global financial crisis and security threats

World Cup tickets go on sale


The first phase of the ticket sales process for the 2010 World Cup in South Africa began on Friday.

Prices range from £14 (US$20) for the lowest category first-round matches to over £600 (US$900) for the final at Johannesburg's Soccer City Stadium.

Nearly three million tickets will be available before the event kicks off on 11 June 2010, with 740,000 up for grabs in the first phase of sales.

Thursday 19 February 2009

Cartoon seems to link Obama to dead chimp


The caption reads: "They'll have to find someone else to write the next stimulus bill."

The cartoon refers to a chimpanzee named Travis who was killed Monday by police in Stamford, Conn., after it mauled a friend of its owner."How could the Post let this cartoon pass as satire?" said Barbara Ciara, president of the National Association of Black Journalists. "To compare the nation's first African-American commander in chief to a dead chimpanzee is nothing short of racist drivel."

State Sen. Eric Adams called it a "throwback to the days" when black men were lynched.

Woman blinded by acid wants attacker to suffer


Ameneh Bahrami is certain that one day she'll meet someone, fall in love and get married. But when her wedding day comes, her husband won't see her eyes, and she won't see her husband. Bahrami is blind, the victim of an acid attack by a spurned suitor."I don't want to blind him for revenge," Bahrami said in her parents' Tehran apartment. "I'm doing this to prevent it from happening to someone else."

US faces fresh Afghan obstacles


The Manas base in Kyrgyzstan is used by thousands of US soldiers every month on their way to and from Afghanistan.

The US is extremely concerned about a resurgence of the Taleban, and said this week it would send an additional 17,000 troops there.

Serikali yampongeza Odemba kwa kuitangaza Tanzania


WIZARA ya Maliasili na Utalii imempongeza Miss Earth, Miriamu Odemba kwa kazi kubwa ya kutangaza utalii wa Tanzania pamoja na kuanzisha programu ya upandaji miti inayoendelea nchi nzima

Yuan weakens against US dollar for fifth day


The Chinese yuan weakened for a fifth trading day Thursday, despite government denials that the currency has deliberately been allowed to fall.The weakening followed Wednesday's denial by the National Development and Reform Commission, the country's top economic planner, of a media report saying that the yuan could weaken to about 6.9 to 7 per US dollar.

Rooney seals win to send United five clear


Wayne Rooney scores with his first touch after a seven-match injury absence to help send Manchester United five points clear of nearest rivals Liverpool in the Premier League with a 3-0 win over Fulham at Old Trafford

Pinda atembelea gereza mjini Moshi


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama kiatu wakati alipotembelea kiwanda cha kutengeneza viatu katika Gereza la Karanga mjini Moshi akiwa katika ziara ya mkoa wa Kilimanjaro, Februari 18,2009. Kushoto ni Kaimu Kamishina Mkuu wa Magereza, Aziza Mulisali na kulia ni mkuu wa kiwanda hicho, Ilinius Ngonyani.

Tuesday 17 February 2009

Obama signs massive stimulus bill


US President Barack Obama signed a mammoth stimulus package into law Tuesday and readied a $50 billion rescue plan for homeowners facing foreclosure

Waya wa fibre optic waanza kutandazwa Tanzania


Bill Clinton:Don't Blame Him for the Economic Crisis


"My question to them is: Do any of them seriously believe if I had been president, and my economic team had been in place the last eight years, that this would be happening today? I think they know the answer to that: No."

Man City killing football?


FC Copenhagen coach Ståle Solbakken has stirred things up ahead of his team's UEFA Cup clash with Manchester City by claiming the Premier League club are "destroying football" with their unrealistic ambitions."The amounts of money that has been mentioned are incredible," Solbakken to Danish paper Ekstra-Bladet. "I think that such incredible sums will take part in destroying football."

"They are creating too big a mental distance between what we call reality and then Manchester City.

Mchina achomolewa Dar, atoa kichapo


Katika hali isiyotegemewa kibaka mmoja aliweza kumchomolea mchina dar, Mchina atoa kichapo.

Monday 16 February 2009

Clinton heads to Asia on first state trip



Hillary Clinton says her first overseas trip to Asia as U.S. secretary of state is aimed at creating a "network of partners" to tackle problems that no nation can deal with alone, including the global economic crisis.

Sunday 15 February 2009

UWANJA MPYA WA TAIFA WAKABIDHIWA RASMI



Rais wa China Hu Jintao, amemkabidhi rasmi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, Uwanja mpya wa Taifa kwa niaba ya Serikali ya Tanzania. Katika makabidhiano hayo yaliyofanyika uwanjani hapo, Rais JK alimpongeza Rais wa awamu iliyopita, Benjamini Mkapa na kuzisifu juhudi zake kwa kusema yeye ndiye aliyekwenda kumuomba Rais huyo kujengewa uwanja huo mwaka 1998 akiwa madarakani. JK alisema yeye akiwa Waziri wa Mambo ya Nje wakati huo, ndiye aliyetia saini makubaliano hayo baada ya kuridhiana。

Saturday 14 February 2009

Watu zaidi ya 15 wapoteza maisha baada ya ajali ya treni


Zaidi ya watu 15 wapepoteza maisha yao baada ya ajali ya treni iliyo tokea nchini India

Hu in Tanzania for state visit


Chinese President Hu Jintao arrived in the Tanzanian capital of Dar es Salaam Saturday night for a state visit to the eastern African nation."It can be viewed as an exemplary relationship of sincerity, solidarity and cooperation between China and an African country and between two developing countries," Hu said.During his stay here, Hu will also meet with Zanzibar President Amani Abeid Karume, attend the completion ceremony of Tanzania's state stadium, visit a cemetery for Chinese experts, and deliver a key-note speech at a welcoming meeting on Monday.

Friday 13 February 2009

Mkapa, Mwinyi to grace New Stadium inauguration



Former Presidents Ali Hassan Mwinyi and Benjamin Mkapa are among dignitaries expected to grace the official inauguration of the New Stadium in Dar es Salaam on sunday. The new state-of-the-art stadium venue is expected to be officially inaugurated by the Chinese President, Hu Jintao, who is set to arrive in Dar es Salaam tonight.

Thursday 12 February 2009

Vituko Vya Zenj


Wednesday 11 February 2009

Adebayor wins Caf award


Togo and Arsenal striker Emmanuel Adebayor was named the Confederation of African Football's Player of the Year on Tuesday
"I'm highly honoured by what I have done in African football," said Adebayor at the awards ceremony in the Nigerian city of Lagos.

"Now that the World Cup is coming close and is in Africa, we'll work hard to win the championship."



Caf award winners:

Caf Player of the Year
Emmanuel Adebayor (Arsenal and Togo)

Inter-Club Player of the Year
Mohamed Aboutrika (Al Ahly)

National Team of the Year
Egypt

Club of the Year
Al Ahly (Egypt)

Young Player of the Year
Salomon Kalou (Chelsea and Ivory Coast)

Women's footballer of the year
Alice Mattlou (South Africa)

Coach of the Year
Hassan Shehata (Egypt)

Tsvangirai aapishwa rasmi Waziri Mkuu


Kiongozi wa upinzani Zimbabwe Morgan Tsvangirai ameapishwa kuwa Waziri Mkuu wa serikali ya umoja wa kitaifa, na Robert Mugabe anaendelea kuwa rais.Bwana Tsvangirai alishinda duru ya kwanza ya uchaguzi wa rais mwaka jana, lakini akajitoa katika uchaguzi wa marudio kutokana na kushambuliwa kwa wafuasi wa chama chake.

Hata hivyo baadae alikubali kugawana madaraka na Bwana Mugabe.

Changamoto kubwa inayoikabili serikali mpya ya Zimbabwe ni kuutokomeza ugonjwa wa kipindupindu, kuinua uchumi ulioporomoka vibaya na tatizo la ajira linalofikia asilimia 90 ya watu wasio na kazi

Tanzania bado tambarare


TAZARA train (Mukuba express) from New Kapilimposhi Zambia to Dar es salaam Tanzania

Hu Kufungua uwanja mpya Tanzania


THE new state-of-the-art stadium in Dar es Salaam is expected to be officially launched on February 15, the 'Daily News' has learnt. Impeccable sources say that Chinese President Hu Jintao is expected to grace the opening of the imposing facility during his forthcoming visit to Tanzania

THANKS FOR VISITING THIS BLOG

masterdeeky 2009

MAONI: masterdeeky@hotmail.com