TODAYS TOP NEWS
Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Sita 2009
CLICK HERE
AJALI
This wreckage is all that remained of Toyota Hiace with registration number T 527 ABW, plying between Kongowe and Ubungo in DSM, when a Scania truck with registration number T 873 AAN (R) accidentally rammed into it at Kibaha in Coast Region.
Zuma aapishwa
Brazil floods,At least 32 have been killed and left nearly 200,000 homeless.
Brazil rushed aid Wednesday by air, over land and through rapidly rising waters to scores of cities and towns isolated by floods that have killed at least 32 and left nearly 200,000 homeless.
But in an ominous sign that worried officials, rain continued to fall across a vast region stretching from the Amazon jungle to the northeastern Atlantic coast and meteorologists predicted the bad weather could last for weeks.
Zombe asubiri hukumu
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imefunga utetezi wa mshitakiwa wa kwanza aliyekuwa Kaimu Kamanda na Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Dar es Salaam, (ACP) Abdallah Zombe, kwenye kesi ya mauaji ya wafanyabiashara watatu na dereva teksi mmoja, sasa anachosubiri ni hukumu.Zombe kupitia wakili wake, Jerome Msemwa, aliiomba mahakama hiyo impe nafasi ya kujitetea upya lakini ombi lake liligonga mwamba. Zombe na wenzake wanakabiliwa na mashitaka ya kuwaua kwa kuwapiga risasi watu wane, ambao miongoni mwao ni wafanyabishara watatu maarufu wenyeji wa mkoa wa Morogoro na dereva Taxi mmoja.
Obama policies on Africa to follow in the footsteps of the Bush regime
In what may come as a shock to many, President Barack Obama’s designated top diplomat for Africa has confirmed that the new administration will adhere to the same policies that were pursued during the Bush era.
Dar tourism takes a beating from global crisis
Tanzania’s tourism industry has taken a beating from the global economic crunch’s with revenue collection expected to dip below the projected $1.6 billion.
In March, the operators proposed several measures to address the impact of the financial crisis on Tanzania tourism.
Athari za Mabomu Dar
“Serikali imeshaanza kugharimia gharama za mazishi kwa watu waliokufa katika ajali hii, na itaangalia jinsi ya kuwapa pole wale waliofiwa ili kupunguza makali ya maisha na kuwasaidia waliopata ulemavu kwa matibabu na vifaa"
Mengi VS Rostam: Where is the Government?
In separate interviews yesterday, political leaders and several other people queried why the Government had not acted on allegations of serious criminal offences being made by Igunga MP Rostam Aziz and prominent businessman Reginald Mengi.
Kenya: Women Go On Sex Strike
Thousands of the women vowed to begin a week-long sex strike to protest their country's bickering leadership, which they say threatens to revive the bloody chaos of last year.
Leaders from Kenya's largest and oldest group dedicated to women's rights, the Women's Development Organisation, said they hoped the boycott would persuade men to pressure government to make peace.
Tangazo la Marekani lazua hasira Iran
Serikali ya Iran wamekasirishwa sana kufuatia nchi hiyo kutajwa kuwa ni mfadhili mkuu wa ugaidi duniani na wamehoji hadhi ya Marekani kutoa madai kama hayo.Iran imetupilia mbali ripoti iliyotolewa na Marekani inayoshutumu nchi hiyo kwa kufadhili ugaidi na kupanga mashambulio katika maeneo ya Mashariki ya Kati na Asia ya Kati.
11 WAFA KWA MABOMU: Mamia ya wakazi wazihama nyumba zao,Majeruhi wafurika hospitali Dar
Watu 11 wakiwamo wanajeshi sita, wamethibitika kufa katika milipuko ya makombora na mabomu iliyotokea juzi katika kambi ya maghala ya silaha ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Mbagala Kizuiani, Dar es Salaam. Idadi hiyo ya vifo imeongezeka
Akizungumza na Mwananchi, mmoja wa wananchi hao, Mohamed Said alisema hali ni mbaya watu wamefadhaika na nyumba kadhaa zimeharibiwa na wengi wao wapotezana na familia zao.
“Mimi nimepotezana na watoto wangu na baadhi ya ndugu zangu sijui waliko,” alisema.
Madaktari bingwa wa Taasisi ya Mifupa ya Muhimbili (Moi), wakimpa Rais Jakaya Kikwete (kushoto) maelezo ya majeruhi wa mabomu aliyelazwa katika taasisi hiyo baada ya kupoteza mguu wake na damu nyingi juzi, na sasa anapumua kwa kutumia mashine maalumu.
eneo la Mtoni Kwa Azizi Ally kuelekea mabomu yalikolipuka
askari wa Kikosi cha zimamoto wakielekea eneo la tukio
Kivumbi ripoti ya CAG leo Dodoma
Kuvuna Deci hadi wiki ijayo